Sep 15, 2016

VISIMA 7 KUPUNGUZA TATIZO LA MAJI KISHAPU


1.Mkurugenzi wa Halimashauri ya Wilaya Kishapu Bwana.Stephen M Magoigaakizindua moja katiyaVisima saba.

Afisa MradiMwandamizi Mama Tina Mosha Akimtwisha maji Moja ya wanakiji wa IKONDA.



Moja visima vilivyo kuwa vikitumiwa na wanachi kabla ya ujenzi wa visima vya kisasa.

Vijana waYouthCAN wakitoa elimu ya Mazingira, Majina Afya kwa njia ya Nyimbo Kijijini Ikonda



Nizar Selemani Mratibu wa shuguli za vijana katika shirika la NCA na Baraka Chedego ambae ni Mratibu wa Youth CAN wakizungumza jambo wakati wa mkutano na wanakijiji cha Ikonda
Vikundi Mbalimbali vyasanaa kutoka Kishapu vikitoa burudani wakati wa Mkutano.
Wananchi wa Kishapu wakifatilia mkutano kwa Umakini Mkubwa.
Wananchi wa Kishapu wakifatilia mkutano kwa Umakini Mkubwa.







MSAFARA WA VIJANA WATOA ELMU YA MAZINGIRA NA AFYA KISHAPU
Youth Climate Activist Network (YouthCAN) Tanzania Ni mtandao wa vijana wanaotoka kwenye taasisi za dini mbalimbali wanaofanya shuguli mbalimbali za mazingira na afya kwa ujumla kwa kujitolea chiniya Shirika la Norwegian Church Aid (NCA)
KuanziaTarehe 11/9 /2016 vijana hawa walianza masafara wa Kutembelea baadhi ya maeneo yaliyoathirika sana na mabadiliko yatabianchi. Ili kutoa elimu ya Utunzaji wa mazingira, vyanzo vya maji na usafi .baada ya kutoa elimu hiyo Halmashauri ya wiliya Kishapu Mkoani Shinyanga wanatarajia kwenda Kutoaelimu hiyo Mkoani Manyara kwenyebaadhi ya vijijivilivyopo Hanang. Hydom na Mbulu.
Licha ya kutoa elimu juu mazingira, Majiana afya vijana hawa watapata nafasi ya kuzindua baadhiya Visima vya maji vilivyojengwa na Shirika la Norwegian Church Aid (NCA) kwa kushirikiana na Washirika wake.
Ambapokwakuanzawamepatafursayakushirikiuzinduziwavisima 7 vilivyojengwakwamsaadawawatuwa Norway visimahivyovitasaidiakutatuatatizo la majisafinasalamakatikavijiji vi 3 wiliyaniKishapu .ambavyoni IKONDA A,UBATA na MWAWEJI.


Picha zote na IMANI SELEMANI NSAMILA