
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji
waTaasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Dkt. Othman Kiloloma (kushoto)
akionesha moja ya mguu wa bandia ambao umotolewa msaada na Taasisi ya
Legs 4 Afrika ya nchini Uingereza kwa kushirikiana na Asasi ya Mohamed
Punjani pamoja na Taasisi ya Watoto Kwanza ikiwa ni sehemu ya msaada wa
miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni
sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo
mapema hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu, kulia ni
Mkurugenzi wa Mradi wa Watoto Kwanza Bi. Janeth Kiwia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Mohamed Punjani Foundation Bw. Gulam Punjani kulia akisisitiza jambo kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada
wa miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi
milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo
hivyo mapema hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu,
katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Watoto Kwanza Bi. Janeth Kiwia na
kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji waTaasisi ya Mifupa na Mishipa
ya Fahamu Dkt. Othman Kiloloma.
Mtaalam wa kutengeneza viungo vya
miguu toka Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Soud
Ramadhan akionesha namna ya utengenezaji wa miguu bandia kwa waandishi
wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu ya
bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini
kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema
hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu.
Mtaalam wa kutengeneza viungo vya
miguu toka Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Geofrey
Mwakasungula akionesha namna ya utengenezaji wa miguu bandia kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada wa
miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi
milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo
hivyo mapema hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu.
Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji
waTaasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Dkt. Othman Kiloloma (kulia)
akionesha waandishi wa habari (hawapo pichani) moja ya viungo bandia
wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu ya bandia takribani 600 yenye
thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia
wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema hii leo katika taasisi ya
mifupa na mishipa ya fahamu.
: Mkurugenzi wa Mradi wa Watoto
Kwanza Bi. Janeth Kiwia kulia akisoma pamoja na wanafunzi ambao
wanamataizo ya viungo wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu ya
bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini
kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema
hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu.
(Picha zote na Benjamin Sawe – Maelezo)