JESHI LA POLISI, WANANCHI WAJIKITA RASMI KATIKA MAPAMBANO NA WAHALIFU
Mkuu
wa Polisi wilaya ya Arusha (SSP) Emmanuel Tille akiongea na viongozi wa
kata ya Moivaro tarafa ya Suye pamoja na askari wa vikundi vya ulinzi
shirikishi wakati wa uzinduzi wa vikundi vinne vya kata hiyo.
Diwani
wa kata ya Moivaro Rick Moiro akiongea na askari wa vikundi vya ulinzi
shirikishi toka kwenye baadhi ya mitaa ya kata yake mara baada ya
uzinduzi wa vikundi hivyo.
Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha (SSP) Emmanuel Tille akiwakagua askari
wa vikundi vya ulinzi shirikishi kutoka mitaa ya Ngurumausi,
Oldonyommasi, Moivaro Kati na Shangarao. Baadhi
ya viongozi wa kata ya Moivaro pamoja na askari wa vikundi vipya vya
ulinzi shirikishi wakimsikiliza kwa umakini Mkuu wa Polisi wilaya ya
Arusha (SSP) Emmanuel Tille hayupo pichani. Mmoja
wa wahitimu wa askari wa ulinzi shirikishi katika kata ya Moivaro
akikabidhiwa kitambulisho cha kazi kutoka kwa Mkuu wa Polisi wilaya ya
Arusha (SSP) Emmanuel Tille.