Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye(kushoto), Flaviana
Matata na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na
Muungano January Makamba wakiweka shada la maua kwenye kaburi la pamoja
ikiwa sehemu ya maadhimisho ya miaka 20 ya kumbukumbu ya kuzama kwa meli
ya MV. Bukoba.
Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye pamoaja na Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba
wakijiandaa kuwasha mishumaa.
Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye(kushoto) akiweka
mshumaa kwenye kaburi pamoja na Flaviana Matata kwenye maadhimisho ya
miaka 20 ya kuzama kwa MV. Bukoba ambapo mamia ya watu walipoteza
maisha.
Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye(kulia)
akimsikiliza Flaviana Matata muda mfupi kabla ya kupiga picha ya pamoja
za kumbukumbu ya maadhimisho ya miaka 20 ya kuzama kwa meli ya MV.
Bukoba.
Picha ya Pamoja.
Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati
wa kuangalia mazoezi ya uokoaji majini yaliyofanywa na vijana 50
waliohitimu mafunzo ya uokoaji yaliyodhaminiwa na Flaviana Matata
Foundation pamoja na UTT wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 20
tangia kuzama kwa meli ya MV. Bukoba yaliyofanyika mjini Mwanza ambapo
mamia ya watu walifariki akiwemo mama mzazi na binamu wa Flaviana
Matata.
Sehemu ya
waliofuzu mafunzo ya uokoaji wakionyesha namna ya kuokoa watu majini
wakishuhudiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Nnauye, Mhe. January Makamba Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mhe.
Stanslaus Mabula na Flaviana Matata
Sehemu ya
makaburi ya pamoja ya waliofariki kwenye ajali ya MV. Bukoba mwaka 1996
ambapo leo imetimia miaka 20 tangia ajali hiyo imetokea.
Viongozi wa Dini walioshiriki kwenye kutoa ibada maalum ya kumbukumbu ya miaka 20 tangia kutokea kwa ajali ya MV. Bukoba.