
Jaman
wapendwa kuna mwanafunzi mwenzetu amepata upofu akiwa chuo na sisi kama
wanafunzi tumeamua kumchangia pesa kama inawezekana akatibiwe ila
inahitaji kama milion 30 kwa hiyo kwa yeyote atakaeguswa anaweza tuma
chochote kupitia namba hizo hapo kwenye hicho kipeperushi.