Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiongea na
viongozi wa COSOTA na wa Kampuni ya Copyright Management Eas t
Africa kuhusu mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya
kazi. .(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)
Mkuu
wa uendeshaji wa Kampuni ya Copyright Management Eas t Africa Bw.
Abdi Zagar aliesimama akimuelekeza Mhe. Waziri wa Habari , Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye jinsi mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba
utakavyokuwa unafanya kazi, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Copyright Management Eas t Africa Bw. Paul Matthysse .(Picha na
Benjamin Sawe- WHUSM)
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Copyright Management Eas t Africa Bw. Paul
Matthysse kulia akimuelekeza Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mh. Nape Nnauye jinsi mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba
utakavyokuwa unafanya kazi.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).