Feb 15, 2016

TAASISI YA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE KATIKA MASUALA YA UMILIKI WA ARDHI “MAMA ARDHI ALLIANCE” YAZINDULIWA

Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi Alliance)wakizindua rasmi taasisi hiyo ambayo kazi yake kubwa ni kuwatetea wanawake katika masuala mbalimbali yanayohusu umiliki wa Ardhi, uzinduzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi za shirika la Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA) Ilala jijininDar es salaam.
Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi Alliance)wakikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi taasisi hiyo ambayo kazi yake kubwa ni kuwatetea wanawake katika masuala mbalimbali yanayohusu umiliki wa Ardhi.
Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi akionyesha huku Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi Alliance) na wanachama wenzake wakifurahia mara baadea ya kuzindua rasmi taasisi hiyo ambayo kazi yake kubwa ni kuwatetea wanawake katika masuala mbalimbali yanayohusu umiliki wa Ardhi, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA Tike Mwambipile.
Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi akimpongeza Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi Alliance)mara baada ya kuizindua rasmi taasisi hiyo ambayo kazi yake kubwa ni kuwatetea wanawake katika masuala mbalimbali yanayohusu umiliki wa Ardhi
(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)