
Baadhi
ya abiria waliokuwa wamepanda kivuko cha Mv Kigamboni wakiwa
wamekumbwa na butwaa kufuatia kivuko hicho walichokuwa wamepanda
kukatika sehemu
ya kushukia abiria na Magari na kupelekea hofu kubwa miongoni mwao,kama
uonavyo pichani baadhi ya abiria hao wakijaribu kujinusuru na hali
hiyo,kwani kivuko hicho kilikuwa kimesheheni abiria lukuki

Abiria wakipewa maelekezo namna ya kushuka kwenye kivuko hicho.