Spika
wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai akisitiza jambo wakati akizungumza na Balozi
wa Uturuki nchini Yasemin Eralp aliyemtembelea ofisini kwake. Katikati
ni Katibu wa Balozi huyo.
Spika
wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini
Yasemin Eralp aliyemtembelea ofisini kwake Mjini Dodoma.(Picha na Ofisi
ya Bunge)