Jan 28, 2016

TASWIRA KUFUATIA MVUA KUBWA KUNYESHA USIKU WA KUMKIA LEO JIJINI DAR

 Sehemu ya nyumba za wakazi wa maeneo ya Kwa msisiri-Kinondoni jijini Dar,yakiwa yamezungukwa na maji kufuatia mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia leo,kwa ni Mvua za masika zinaendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya nchi.
 
 wakazi wa maneo ya Kwamsisiri wilayani Kinondoni wakitafuta namna ya kupita kufuatia njia kuzibwa na maji
 (Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii)