Jan 26, 2016

MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma Januari 25, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)