RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein na
Viongozi na Wananchi wakishiriki katika Sala ya kumsalia marehemu
Ramadhani Nyonje Pandu iliofanyika katika msikiti wa fuoni na kuzikwa
kijijini kwao Paje Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu).
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akishiriki dua ya kuuombea Mwili wa Marehemu Ramadhani Nyonje Pandu
wakati alipofika nyumbani kwa marehemu fuoni michezani Unguja kutoa
mkono wa pole kwa wanafamilia leo asubuhi.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akimfariji Mjane wa Marehemu Ramadhani Nyonje Panda alipofika nyumbani
kwao fuoni michezani kutowa mkono wa pole kwa wana familia, kulia Kadhi
Mkuu wa Zanzibar Shekh Khamis Haji Khamis.
WANANCHI wakiwa katika msiba wa marehemu Ramadhani Nyonje Pandu aliyewahi kuwa Mwakilishi wac Jimbo la Muyuni Zanzibar.
WANANCHI
wakiwa katika msiba wa marehemu Ramadhani Nyonje Pandu wakiwa nyumbani
kwa marehemu fuoni michezani Unguja wakisubiri taratibu za mazishi ya
marehemu kupelekwa kijiji kwao Paje kwa mazishi.