
Msikiti mpya wa Kitongoji cha Kimbangulile, Mkuranga Pwani

Msikiti wa zamani wa Kitongoji cha Kimbangulile Wilaya ya Mkuranga mkoni Pwani.
Tunamshukuru Mungu kwa wale wote walio tuunga mkono katika harakati hizi Mungu awabariki.
Ndugu zangu Wapendwa Michango tuliyo kusanya toka mwanzo Program PROJECT zetu za kheri hizi ni Tshs 6,000,000 ( Milioni Sita ) .
Pesa
hizi zimetumika katika kuwezesha kufanya Mambo Mawili katika sehemu
tofauti , Sehemu ya Kwanza ni Mkoa wa Pwani , Wilaya ya mkuranga ,
Kijiji cha Mlamleni , kitongoji cha Kimbangulile hapa tumewezesha
kuubadilisha ki ujenzi Msikiti kutoka katika hali ya Nyasi kuwa hali ya
bati kama mnavyo ona katika Picha.