Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale akisoma risala
kwa mbele ya wadau wa ujenzi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mara baada ya kukutana na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya juu (Fly over)
eneo la Tazara jijini Dar es Salaam mkataba uliosainiwa kati ya
Tanroads na kampuni ya Sumiton Mitsui Constraction Co. LTD ya nchini
Japan mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada akizungumza na wadau wa ujenzi walipokutana kusaini mkataba wa ujenzi wa ujenzi wa barabara ya juu (Fly over) eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.

Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakiwa na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada wakisaini mkataba kwaajili ya ujenzi wa barabara ya juu (Fly over)eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli akiwashukuru wadau wa ujenzi leo
jijini Dar es Salaam na kuhusiana na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara
ya juu (Fly over) maeneo ya Tazara ambao utajengwa na kampuni ya Sumiton Mitsui Constraction Co. LTD ya nchini Japan. 
Baadhi ya wadau waliohudhulia mkutano huo leo jijini Dar es Salaam.
picha zote na JIACHIE