
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia
kuashiria kufungua rasmi tawi la Benki kuu ya Tanzania Dodoma Oktoba
15,2015.Kushoto ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum na Gavana wa Benki
Kuu Profesa Benno Ndulu(picha na Freddy Maro)