Viongozi
wa Meza Kuu wakiwa wamesimama wakati wa kuomba Dua Mkutano huo wa
Baraza la Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania uliovikutanisha Viongozi
wa Vyama 22 vya Siasa Tamzania uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
bwawani Zanzibar.wa kwanza Jaji Lubuva Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya
Siasa Mzirai na Msajili Msaidi wa Vyama vya Siasa Tanzani Mhe Ibrahim
Mkwawa.
Mmoja
wa Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania akiuombea Mkutano huo wa Baraza
la Vyama vya Siasa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
Bwawani Zanzibar. ukizungumzia maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania .
Viongozi wa Vyama vya Siasa wakiitikia dua kabla ya kuaza kwa mkutano huo kuutakia baraka