Oct 13, 2015

RAIS KIKWETE APEWA TUZO NA TASWA

Mwenyekiti wa TASWA Bwana Juma Pinto akimpa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kuendeleza michezo nchini wakati wa hafla maalum ilioandaliwa na TASWA katika ukumbi wa Mlimani City jana  jijini Dar es Salaam.
Picha na Freddy Maro)