Mtoa
mada katika Mdahalo kuhusu Amani, Umoja na Haki Tanzania, Bw. Humphrey
Polepole akielezea mawazo yake mbele ya washiriki katika ukumbi wa
Ubungo Plaza Dar es Salaam jana nyuma ni Balozi Getrude Mongela. Mdahalo huo uliorushwa moja kwa moja na Kituo cha Televisheni cha ITV. Picha na Said Ng’amilo.