Sep 2, 2015

Video: Stosh Ft Bucho & Rizione – Waonyeshe

Video mpya ya rapper wakike anaitwa Stosh amewashirikisha Busho na Rizione wimbo unaitwa “Waonyeshe” video imeongozwa na Minzi Mims.