
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akijiachia jukwaani pamoja na
wasanii wa kundi la Yamoto Band kwenye uwanja wa Mashujaa mkoani
Mtwara,ambapo Dkt Magufuli anatarajia wakuwahutubia wananchi hao
waliofurika kwa wingi.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akijiachia jukwaani pamoja
na wasanii wa kundi la Yamoto Band kwenye uwanja wa Mashujaa mkoani
Mtwara,ambapo Dkt Magufuli anatarajia wakuwahutubia wananchi hao
waliofurika kwa wingi.

Wakazi
wa mji wa Mtwara ambao wamejitokeza kwa wingi hivi sasa ndani ya uwanja
wa Mashujaa, mjini Mtwara kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM,Dkt John Magufuli

Wananchi wakiwa wamekusanyika ndani ya uwanja wa Mashujaa mkoani Mtwara hivi sasa,kumsikiliza Dkt John Pombe Magufuli

Wananchi wakiwa wamekusanyika ndani ya uwanja wa Mashujaa mkoani Mtwara hivi sasa,kumsikiliza Dkt John Pombe Magufuli.

Msanii
wa Muziki wa Kizazi kimya,Ali Kiba akiimba mbele ya maelfu ya wananchi
wa Mtwara jioni ya leo kwenye mkutano wa Kampeni wa CCM,ambapo Dkt John
Pombe Magufuli anatarajia kuwahutubia.