Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu,Damian Lubuva
akizungumza na wamiliki wa vyombo vya habari (hawapo pichani) jinsi ya
tume hiyo inavyofanya kazi kuelekea uchagauzi Mkuu katika mkutano
ulifanyika leo katika Ukumbi wa Serena jijini Dar es Salaam.
Waamiliki
wa Vyombo na waandishi habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa
ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu ,Damiani Lubuva (hayupo pichani)katika
mkutano uliotoshwa na tume hiyo kuelekea uchagauzi Mkuu uliofanyaika leo
jijini Dar es Salaam,
(picha na Emmanuel Massaka)