Mgombea urais wa Tanzania
kupitia CCM, Dk. John Magufuli akikimbia kuonesha ukakamavu kwenda
jukwaani kujinadi wakati wa mkutano wa kampemi katika Uwanja wa Taifa
mjini Ifakara wilayani Kilombero, Mkoa wa Morogoro jana.
Mgombea Urais wa Tanzania
kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi akifanananisha upara wake na wa
Mgombea Ubunge wa Jimbo jipya la Malinyi katika mkutano wa kampeni
uliofanyika jana katika Kata ya Mtimbila Wilaya mpya ya Malinyi,
Morogoro. Dk Magufuli alifanya pia kampeni katika wilaya za Ulanga na
Kilombero.
Mmoja wa wananchi akiwa na bango
linalosema Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli
anasubiri kuapishwa tu katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana Mjini
Ifakara, wilayani Kilombero, Morogoro. Dk Magufuli alifanya pia kampeni
katika wilaya za Ulanga na Malinyi.
Mgombea urais wa Tanzania
kupitia CCM, Dk. John Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la
Kilombero alipokuwa akitoka kufanya kampeni katika Wilaya za Ulanga na
Malinyi kwenda Mjini Ifakara, wilayani Kilombero, Morogoro.
Mmoja wa wafuasi wa CCM akiwa na picha ya Dk Magufuli mjini Mahenge, wilayani Ulanga
Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli mjini Mahenge, Ulanga
Madini wakinadiwa na Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni mjini Mahenge jana.
Dk Magufuli akiombewa na mmoja wa masheikh baada ya kumaliza kujinadi kwa wananchi mjini Mahenge Ulanga.
Mgombea Urais wa Tanzania
kupitia CCM, Dk. John Magufuli akimpatia zawadi mtoto alipokuwa
akiondoka mjini Mahenge wilayani Ulanga, baada ya kufanya mkutano wa
kampeni.
Wananchi waliouzuia msafara wa Dk Magufuli katika Kijiji cha Ilagua Mission, Wilaya mpya ya Malinyi ukielekea Kata ya Mtimbila.
Moja ya mabango yaliyishikwa na wananchi katika mkutano wa kampeni katika Kata ya Mtimbila, wilayani Malinyi jana.
Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Mtimbila.
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Mtimbila, wilayani Malinyi.
Mwananchi akitafakari wakati Dk Magufuli akihutubia na kutoa ahadi ikiwemo ya kuanzisha malipo ya pensheni kwa wazee nchini.
Hureee Dk Magufuli.
Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Malinyi, Dk. Harji Mponda wakati wa mkutano huo.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema
Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, Said Kitila akitangaza kukihama chama
hicho na kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika
Kata ya Mtimbila, wilaya mpya ya Malinyi, mkoani Mororogoro.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema
wa Uratibu wa Msingi Wilaya ya Ulanga, Evance Tagala akionesha kadi
kabla ya kuikabidhi kwa Dk Magufuli alipotangaza kukihama chama hicho na
kujiunga na CCM wakati wa mkutano huo wa kampeni katika Kata ya
Mtimbila.
Tagala akipongezwa na wafuasi wa CCM baada ya kujiunga na chama hicho.
Wananchi wakimsikiliza Dk Magufuli alipokuwa akijinadi katika Kijiji cha Lupilo wilayani Ulanga.
Kijana akiwa na uso wa mshangao
baada ya kumuona Dk Magufuli alipokuwa akizungumza na wananchi kabla ya
kuvuka Mto Kilombero akitokea wilayani Ulanga kwenda Ifakara.
Mgombea urais wa Tanzania
kupitia CCM, Dk. John Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la
Kilombero alipokuwa akitoka kufanya kampeni katika Wilaya za Ulanga na
Malinyi kwenda Mjini Ifakara, wilayani Kilombero, Morogoro.
Mmoja wa wananchi akiwa na bango
linalosema Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli
anasubiri kuapishwa tu katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana Mjini
Ifakara, wilayani Kilombero, Morogoro. Dk Magufuli alifanya pia kampeni
katika wilaya za Ulanga na Malinyi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Ni furaha iliyoje kwa mwananchi huyu
Sehemu ya umati wa watu wakati
wa kampeni CCM kwenye Uwanja wa Taifa, Ifakara wilayani Kilombero,
Morogoro , uliohutubiwa na Mgombea urais wa CCM, Dk John Maguful
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee
wa CCM, Abdalah Bulembo akizungumza maneno ya kumnadi Dk Magufuli kabla
ya kumkaribisha kujinadi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Ifaraka
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG