
Mwandishi F Macha na msanii wa ACD Arts toka Uganda,
Steve Kasamba. Picha na JJ Adamson wa
Africans in London TV.


Picha ya pamoja (selfie). Kenya na Tanzania

Mtayarishaji wa maonesho, msanii na mwanahabari, Lydia
Olet, akiwa na wacheza sarakasi toka Ghana.

kenya Lydia Makale akiwa na mwanarapu maarufu wa London,
Septimus Prime.