Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.
Baraka Konisaga (pili kushoto) na Mhazini wa NMB - Aziz Chacha
wakipongezana baada ya kuzindua NMB Master Card kwa Mkoa wa Mwanza na
Kanda nzima ya Ziwa katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza.Aina tatu za
Kadi za NMB Mastercard zilizozinduliwa ni: Tanzanite kwa ajili ya
wateja wa kawaida,Titanium kwa ajili ya wateja wa kati na NMB World
Reward MasterCard kwa ajili ya wateja wa kipato cha juu.Wakishuhudia ni
Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa-Abraham Augustino na Meneja Mwandamizi wa
Wateja Binafsi wa
NMB-Getrude Mallya.