Wananchi
waliojitokeza katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana
Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na
lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza
kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba
25, 2015.
Msanii
Msagasumu akimwaga sumu kwa wakazi wa Mbagala na Vitongoji vyake
waliojitokeza katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana
Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na
lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza
kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba
25, 2015.
Shangwe kila kona....
Wasanii wa Bongo Movie nao waliunga mkono harakati za Mabadiliko...
Mhe. Joseph Mbilinyi akiwa na Msanii wa Bongo Moive, Anti Ezekiel.
Wazee
wa Isanga Family kutoka Mbeya nao hawakuwa nyuma kutoa ujumbe wao katika
tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015
Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la
kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura
kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.