JK AHUTUBIA BARAZA LA VIJANA WA CCM (UVCCM) JIJINI DAR
Wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM wakimsikiliza kwa makini mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Wajumbe wa Baraza la Vijana wakiwa kwenye hamasa ya hali ya juu.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete akihutubia kwenye Baraza la Vijana wa CCM.
Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiteta jambo na Dk. Emmanuel Nchimbi.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa NEC Vijana
mara baada ya kufungua na kumaliza kuhutubia Baraza la Vijana wa CCM.
Wajumbe
wa Baraza la Vijana wa CCM wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa CCM
Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda akihutubia Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM
Wageni waalikwa kutoka nje ya Nchi (Diaspora)
Dk.Emmanuel
Nchimbi akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.
Mgombea
Urais kwa tiketi ya |CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe
wa Baraza la Vijana wa CCM na kuwaambia kuwa atashirikiana nao vizuri.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete pamoja na Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Sixtus Mapunda
wakihimiza vijana kuwa imara.
Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na Mjumbe wa NEC Jerry Slaa