
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Futuma
Mikidadi na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi ya Bunge,
Kitolina Kippa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 8, 2015.

Waziri
Mkuu,Mizego Pinda akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo
(wapili kulia) na wabunge wa Viti Maalum (kutoka kushoto) Vicky Kamata,
Fatuma Mikidadi, Mariamu Kisanji na Dkt Mary Mwanjelwa kwenye ukumbi wa
Bunge mjini Dodoma Julai 8, 2015.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)