VIONGOZI WAMIMINIKA BANDA LA PSPF, WAVUTIWA NA HUDUMA ZA MFUKO
Mheshimiwa
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
akisalimia na Bw. Adam Mayingu (wa tatu kutoka kushoto) na Maafisa
wengine wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF alipotembelea banda la Mfuko huo
katika Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayoendelea jijini
Dar es Salaam.
Mheshimiwa
Shaaban Lila Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, akimsikiliza
kwa makini Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi.Rahma Ngassa
alipotembelea banda la PSPF katika maonesho ya 39 ya kibiashara
yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa
Ombeni Sefue, katibu Mkuu Kiongozi akisaini kitabu cha wageni katika
banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF alipotembelea banda hilo katika
maonesho ya 39 ya kibiashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Afisa
Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Magira Werema akitoa maelezo wa
wateja waliotembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF alipotembelea
banda hilo katika maonesho ya 39 ya kibiashara yanayoendelea jijini Dar
es Salaam.
Afisa
Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF akitoa maelezo kwa wateja wateja
waliotembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF alipotembelea banda
hilo katika maonesho ya 39 ya kibiashara yanayoendelea jijini Dar es
Salaam.