
Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma jana.

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye uwanja cha ndege Dodoma tayari
kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama jana.

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
CCM Ndugu Nape Nnauye mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwasalimia
wananchi waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege mkoani Dodoma
jana.

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiimba na wana CCM
waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege mkoani Dodoma jana.
(Picha na Adam Mzee)
(Picha na Adam Mzee)