
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana
na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili kwenye
sherehe za uzinduzi wa jengo jipya la mikutano la CCM.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongoza sherehe fupi za uzinduzi wa jengo jipya la mikutano la CCM mjini Dodoma.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi
ya CRJE, Ndugu Hu Bo akihutubia kwenye sherehe za uzinduzi wa jengo la
kisasa la mikutano la CCM Mjini Dodoma.

Viongozi wakifurahia hotuba ya Mkurugenzi wa CRJE.

Balozi wa China Nchi Mhe. LU Youqing akizungumza wakazi wa uzinduzi wa jengo jipya la Ukumbi wa mikutano la CCM mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM Taifa
Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana wakati wa sherehe fupi za uzinduzi wa jengo la ukumbi
wa kisasa wa mikutano wa CCM mjini Dodoma.

Bendera za CCM zikipepea nje ya ukumbi wa jengo jipya la kisasa la mikutano Dodoma Convention Center.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana akitoa salaam za kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kuja kutoa hotuba ya ufunguzi wa Ukumbi mpya
wa kisasa wa mikutano wa CCM mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais
Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa sherehe za ufunguzi wa ukumbi wa
kisasa wa mikutano wa CCM mjini Dodoma

Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza tufe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa
jengo jipya la ukumbi wa kisasa wa mikutano la CCM mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ufunguo kutoka kwa Mkurugenzi wa kampunzi
ya ujenzi ya CRJE kutoka China Ndugu Hu Bo kama ishara ya kukabidhiwa
jengo la ukumbi wa kisasa la mkutano la Dodoma Convention Center.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimkabidhi mfano wa ufunguo wa Ukumbi
mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, Katibu Mkuu wa CCM ,
Abrahman Kinana, baada ya kuzindua rasmi ukumbi huo leo, mjini Dodoma

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais
Jakaya Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati
Kuu,Balozi wa China Nchini Mhe. LU Youqing na Viongozi wa CCM mkoa wa
Dodoma

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais
Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa ngazi ya juu CCM wakiwa wamekaa
kwenye meza kuu ndani ya ukumbi mpya wa kisasa wa mikutano mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu
Mhe. Fredrick Sumaye kwenye ukumbi mpya wa mikutano wa CCM mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais
Jakaya Kikwete(wa nne toka kushoto),Makamu Mwenyekiti wa CCM(Zanzibar)
Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa kwenye picha ya
pamoja baada ya ukaguzi wa jengo.na Balozi Seif Idd (kushoto) Makamu wa
Rais Dk.Mohamed Bilal,Katibu wa NEC Oganaizesheni Dk.Mohamed Seif
Khatib,Balozi wa China Nchini Mhe. LU Youqing,Mama Salma Kikwete, Mhe.
Anna Abdala na Mzee Pius Msekwa.
(Picha zote na Adam Mzee)
(Picha zote na Adam Mzee)