Jul 6, 2015

EXCLUSIVE VIDEO| KCEE FEAT DIAMOND PLATNUMZ-LOVE BOAT| Watch it here....


Baada ya Diamond Platnumz kutungaza yakwamba hatofanya kolabo tena na WANIGERIA hii ndio tunaweza kusema ni video ya mwisho ambayo kuachiwa ambayo ameshirikishwa na msanii kutoka anga za NIGERIA. Video hii DIAMOND PLATNUMZ katika video hii ameweza kupewa shavu na KCEE nyimbo inaitwa LOVE BOAT.