
Rais
wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi amkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete na Mama Salma Kikwete katika uwanja wa Michezo wa Michezo wa
Machava jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za miaka 40 za Uhuru
wa Msumbiji.Msumbiji ilipata uhuru wake tarehe25 June mwaka 1975 kutoka
kwa mkoloni Mreno.(picha na Freddy Maro).
