Kutoka kwenye ukurasa wake wa kwenye mtandao picha wa instagram,Faiza Ally ameandika;
Nyinyi mnao kuja hapa na kunirekebisha komeni- nendeni
makwenu mkarekebishe familia zenu mm- fanyenyi kazi,fanyeni yenye maana
kwa maendeleo yenu binfsi mimi na niacheni ni dili na yangu na maisha
yangu- shikeni adabu zenu , anzeni kubadilisha familia zenu! maisha
yenu! mahusiano yenu na matatizo yenu!
Nasema hivi mimi ntabaki kuwa yule yule- na nyinyi
mlionicheka baada ya ku post natembea beach na dira- nawaambia tu ni kwa
ajili ya mwezi wa ramazani- mtaendelea kuona picha za bikini na beach
na fashion zangu na maisha yangu! maneno yenu ya kijinga
hayatanibadilisha.
Nitaishi ninavyo taka mimi sio nyinyi na mtaniona na
mwanangu kila siku , nikomeni jamani jirekebisheni nyinyi kwanza- au
anzieni makanisani! misikitikini mapandri na mashehe wanao baka- anzieni
kwa viongozi wavaa masuti wanao waibia na kufanya mabaya! mimi na
ushenzi wa mavazi yangu niacheni!!!!
Mabaya yote unayo yafanya leo kwani yalitokana ma mavazi
ya mama zenu! wezi wabakaji! wanafki' wauwaji mama zao walivaa kama mm
komeni! walevi na malaya wote mama zao walivaa kama mm ? vibaka wote
wavuta unga mama zao walivaa kama mimi- nikomeniiiiiiiiii nimechoshwa na
maneno yenuuuuuu/ rekebisheni makwenu na maisha yangu mm
nacheniiiiiiiiiiiiiiii/ nimewachokaaaaaaaaaaaaaaaa....... ushezi unao
fanya leo umefundishwa na mama yako alieva kitengeeeeee-
mnikomeeeeeeeeeeee
Nadhani ujumbe umefika