Afisa
Masoko wa Benki ya DCB,Hildergard Mehrab akimpa maelekezo mteja
aliyefika katika banda la DCB,kwenye maonyesho nyumba yaliyoandaliwa
Kampuni ya EAG Group yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City
Jijini,Dar es Salaam.
Meneja
Mikopo wa Benki ya DCB,Godwin Mungulu akimpa maelekezo mteja aliyefika
katika banda la DCB katika maonyesho nyumba yaliyoandaliwa Kampuni ya
EAG Group yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini,Dar es
Salaam.
Baadhi
ya wananchi waliohudhulia katikla maonyesho ya kampuni ya EAG group
yanayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.