Katibu
Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad,akipokea fedha
taslim kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano, kutoka kwa
Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja, Massoud Khamis, ili aweze
kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha fedha alizokabidhiwa kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais.
Mwenyekiti
wa CUF zoni ya Mjini Unguja, Massoud Khamis, akimkabidhi Katibu Mkuu wa
Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, cheti cha heshima kutokana na
uongozi wake.
Baadhi
ya viongozi na wanachama wa CUF waliojitokeza katika hafla ya
kumkabidhi fedha Maalim Seif iliyofanyika nyumbani kwake Mbweni. (Picha
na Salmin Said, OMKR)