
Katibu
Mkuu wa Chama cha Madereva Tanzania (CHAMAMATA),Rashid Salehe
akizungumza na madereva (hawapo pichani) katika Kituo kikuu cha Mabasi
yaendayo Mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, kuhusiana na mgomo wa
mabasi yaendayo mikoani.

Makamu
Mwenyekiti wa chama cha Madereva Tanzania (CHAMAMATA),akizungumza na
Madereva wa mabasi yanayosafirisha abiri (hawapo hewani),waliogoma
kusafirisha abiri kwa madai yao ya Mikataba ya kazi pamoja na Ajira za
kudumu.


Madereva wakiwa wameshika mabango katika mgomo wa Madereva leo katika
Kituo kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani-Ubungo jijini Dar es Salaam.


Usalama nao haukua mbali na mikusanyiko ya Madereva katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam.

Abiria wakisubiri usafiri wowote katika kituo cha mawasiliano-Ubungo jijini Dar es Salaam leo.

Mabasi ya mikoani yakiwa yameegeshwa katika stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani-Ubungo jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii)
picha na michuzi media