.jpg)
Chifu
wa Kabila la Wazanaki Japhet Wanzagi (wapili toka kulia)i akitoa ufafanuzi kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya alichotaja kuwa ni upotoshwaji uliofanywa na gazeti
moja la kila siku kuhusu taarifa za kutaja sifa za rais ajaye na kumponda
Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais alidai taarifa za kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa
nafasi ya Urais si za kweli bali amelishwa maneno).Wengine ni baaadhi ya
wanafamilia na rafiki wa chifu huyo mapaema hii leo jijini Dar es Salaam.
habari na michuzi media/wamburababu blog