Mhe,
balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akiwa ameambata na mkuu wa
utawala wa ubalozi wa Malawi bi, Jane Nankwenya, kulia ni balozi wa
Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula na Afisa wa ubalozi Swahiba
Mndeme.
Mhe balozi mpya wa Malawi Nector Mhura akipokelewa na Afisa ubalozi Swahiba Mndeme alipotembelea ubalozi.
Mhe, balozi Liberata Mulamula kwenye picha ya pamoja na mgeni wake balozi wa Malawi Nector Mhura.
Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani akiweka saini kwenye kitabu maalum cha wageni.
Mhe,
balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akimsikiliza kwa makini
mwenyeji wake balozi Liberata Mulamula alipokua akijitambulisha.
Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akiwa ameambata na mkuu wa utawala wa ubalozi wa Malawi bi, Jane Nankwenya.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI.