Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta (aliyesimama)
akifungua Mkutano wa wafanyakazi wa Wizara hiyo mapema jana jijini Dar es
Salaam, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka na kulia
ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo Bwana Hassan Mabula.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban
Mwinjaka akimshukuru Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta mara baada ya
kufungua rasmi mkutano wa wafanyakazi wa wizara hiyo na taasisi zilizo chini
yaka.
Waziri
wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya
hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka mapema jana jijini Dar es Salaam wakati wa
Mkutano wa wafanyakazi wa Wizara hiyo.
Baadhi
ya watumishi wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi
wakiwa katika mkutano wa wafanyakazi uliofanyika jana jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa uchukuzi Mh,Samuel Sitta akiwa katika
picha ya pamoja na wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi na Taasisi zilizo chini ya
wizara hiyo mapema jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa wafanyakazi. Picha na Eliphace Marwa – MAELEZO
na JIACHIE BLOG