
Spika akiwa katika ziara ya maeneo kadhaa ya kiteknolojia katika kampuni
ya Huawei.Spika yuko nchini China kwa ziara ya namba ya kulifanya Bunge
la Tanzania kuendeshwa kiteknolojia zaidi

Mtaalam
wa kampuni ya Huawei akitoa maelezo ya masuluhisho kadhaa ya Bunge
Mtandao (e-parliament solutions) kwa Mhe Spika na ujumbe wake.

Mhe Spika Anne Makinda akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya
Huawei, Li Dafeng kuhusu mambo kadhaa ya kiteknolojia ya Kibunge ambayo
hufanywa na kampuni hiyo duniani.

Spika akimkabidhi Makamu wa Rais wa kampuni ya Huawei,Li Dafeng zawadi
ya picha ya kuchora ya jengo la Bunge. Picha zote na Saidi Yakubu wa
Ofisi ya Bunge.