Wakenya na wateja wengine wa kampuni ya huduma
za simu za mkononi Safaricom, wanatarajiwa kulipa ada za chini Zaidi
kutumia simu zao barani Yuropa na Afrika Kaskazini na ya Kati.
Hii ni baada ya kampuni
hiyo kutangaza kuwa imetia saini mikataba na kampuni za ruunu za
kimataifa na serikali kadhaa katika hatua ambayo itapunguza ada za
kutumia simu katika mataifa 21.
Mwandishi wetu Emmanuel Igunza na mengi zaidi.