Jan 10, 2015

GARI LA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINY LAPATA AJALI MLIMA KITONGA


  ajali mbaya sana mliyoipata jioni hii maeneo ya Mlima KITONGA wakiwa njiani kuelekea kwenye mkutano wa chadema  MIKUMI, Mwenyezi Mungu awatie nguvu na awaponye haraka!!