Maelfu ya waombolezaji walifika
katika chuo kikuu cha jaramogi Oginga Odinga siku ya jumamosi kwa
mazishi ya mwana ya aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya Fidel Castro
Odinga.
Maafisa wa usalama walikuwa na wakati mgumu kudhibiti
umati wa watu uliohudhuria mazishi hayo kumuaga Mwana huyo wa Raila
Odinga.Familia ya marehemu inapanga kupeleka sampuli za mwili wa Fidel mjini Berlin Ujreumani kwa uchunguzi kamili wa kifoi chake.
Fidel alipatikana amefariki katika kitanda chake nyumbani kwake wikendi iliopita.
