ajali ya moto mkubwa uliozuka mapema katika mji wa kigoma na kuteketeza duka kubwa na thamani za vitu na nyumba iliyokuwa jirani na duka hilo chanzo cha moto huo hakijafaahimika
Moto mkubwa umezuka na kuteketeza nyumba na duka kubwa katika mji wa kigoma ambapo chanzo cha ajali ya moto huo hakijajulikana
na mwanahabari wetu Fundi hamis full migebuka









