BAADA YA KUPOROMOSHA BURUDANI YA NGUVU EID MOSI, LEO SKYLIGHT BAND KAMA KAWAIDA NDANI YA THAI VILLAGE NJOO USIKOSEE!
Mary Lucos mwadada mwenye sauti tamu na nyororo akiimba kwa raha zake kuwapa burudani mashabiki wake.
Aneth
Kushaba a.k.a AK47 au Le meneja her self akiimba kwa furaha kabisa
ndani ya Thai Village kuwapa mashabiki wake burudani ya nguvu.Digna
Mbepera (wa kwanza kushoto)akiimba kwa hisia kaliiiii ndani ya kiota
cha maraha na burudani Thai Village Masaki,Kulia kwake ni Aneth Kushaba
akimpa sapoti ya ukweli.Kila ijumaa Skylight Band wanakuwa Thai Village
wakitoa burudani ya nguvu yenye kukonga roho yako kwa muziki mzuri na
uliopangiliwa sawa sawa, Ijumaa ya leo kama kawaida njoo ufurahi na
ukutane na marafiki wapya.
Sam Mapenzi akipiga vocal za ukweli kwa hisia kaliii
Hashimu Donode akiwarahatupisha mashabiki wake kwa vocal kaliiii na tamu
Mary Lucos akipiga zile vokali nzito zilizoshiba ndani ya Thai Village ijumaa iliyopita.
Digna
Mbepera akiimba taratibuuuu kwa vitendo kuwapa burudani yakutosha
mashabiki wake ndani ya Thai Village ijumaa iliyopita usikose Leo kwa
Mtonyo mdogo tuuuu.
Skylight
Band Divas Wakishirikiana kwa pamoja kutoa vocal tamuuuuuuu ndani ya
kiota cha maraha Thai Village Ijumaa iliyopita,Wa kwanza kushoto ni Mary
Luvcos, Digna Mbepera(katikati)na Wa kwanza kulia ni Aneth Kushaba.
Majembe
ya kazi wakiwajibika jukwaaani ili kutoa burudani ya nguvu kwa
Mashabiki wao ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita wa kwanza kushoto
ni Joniko Flower akifuatiwa na Sony Masamba(katikati)na wa mwisho kutoka
kulia ni Sam Mapenzi.
Muziki
ni furaha,hapo pichani ni mpiga tumba nambari moja kwa sasa Tanzania
Daudi Tumba akifurahia kazi yake kwa raha mnooooo, Hii ndio Skylight
bwanaaaa.
Mpiga
kinanda mahiri wa Skylight Band Amos Kinanda akizipga nota zake
vizuriiii kabisaaaa kutoa ala tamu kwa mashabiki wake ndani ya Thai
village.
Anaitwa Idrisaaa hapo akizicharanga Drums zake kwa Rahaaa ili kuwapa Burudani mashabiki wake.
Ebwana
Ehh anaitwa Allen Kiso hapo akizipiga kisu nyuzi za gitaa lake la solo
kwa furaha na umakini mkubwa ili kuwapa burudani mashabiki wake.
Poziii
kwa Poziiii anaitwa Mozee Vinanda hapo akionyesha mikogo kwa rahaaa
zake namna kinanda kinapigwa ili kuwapa muziki mzuri mashabiki wakeee.
Tophy mabass huyu ni mpiga Bass gitaaa wa Skylight Band akizicharanga nyuzi za gitaa lake kwa umakini na furaha teleee.
Hapo sasaaaa mashabiki wakicheza kwa rahaaaa zaoooooo
Sugua
suguaaaa mguuu wa kushoto mbeleeeeee,mguu wa kulia nyumaaaaaaa hapo
mashabiki wa Skylight band wakifurahia mastyle makaliiii toka kwa
wanamuziki wa Bendi
Kwa Rahaaaaa zao wakiserebuka njoo nawewe Ijumaa ya leo ufurahie muziki mzuri.
Le Meneja Her Self Aneth Kushaba Akifurahia Ukodak wa nguvuuuuuu toka kwa lenzi zetu
Le Meneja Her Self Akifurahia Muziki mzuriiiii toka kwa vijana wake ndani ya Thai Village.
Digna Mbepera akiwa back stage akifurahia ukodak wa kamera zetuuu.
Digna Mbepera wa kwanza kushoto akiwa na Mary lucos Wakipata ukodak.
Hapooooooooooo Sasaaaaa Mashabiki wa Skylight Band wakifurahi kwa rahaaaa zao
Shabiki si akadataaaa kwa muziki mzuri wa Skylight Band akaanza kucheza kwa madahaaa na Sam Mpenzi.
Shabiki
si akadata na Muziki mzuri wa Skylight Band, akasema msinitanieeeeee
akapanda jukwaaani akaanza kucheza kwa rahaaaaa kabisa na sam Mapenzi
Happyyyyy Hapyyyyy Hapyyyyyyyyyyy mashabiki wa Skylight Band wakiimbishwa na Aneth Kushaba kwa rahaaaaa zaooo
Donode naye mzuka ukapandaaaaa akaenda kuimba na mashabiki.
Nyomi lakutoshaaaaa.....!Le meneja Her Self Aneth Kushaba akiwajibikaaa vyakutoshaaa kwenye jukwaaa
Weweeeeeeee weweeeeee hapana chezea Aneth Kushaba wewe hapo akionyesha umahiri wa kudansiiii.
Hiii ndio Skylight Band bwanaaaa wakali wa majukwaaa ya dansi tanzania Hapo ni Aneth Kushaba akiwajibika sawa sawiiiiiiii
Daudi Tumba alimkunaaaaa vilivyo Meneja Aneth Kushabaaaaaa mpaka akatunzwaaa.
Sisi
hatukosi Skylight Band Kila Ijumaaaa wewe uliekaa nyumbaniii njooo
ufurahi nasiiiii Leo Ijumaaaaaa,ni mashabiki wa bendi wakiwa
wanafurahia.