Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa (kushoto) akifanya mazungumuzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Beverly Hills California mazungumzo yaliyohusu kutangaza Utalii wa Tanzana nchini Marekani pia Waziri Nyalandu alimpongeza Balozi wa Heshima kwa kuendelea kutangaza utalii wa Tanzania kwenye magari yake ya mizigo.
Jul 18, 2014
WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA AHMED ISSA, BEVERLY HILLS, CALIFORNIA