

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi kwenye kilele cha
Sherehe za Miaka 78 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God katika
uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Tanzania Assemblies of God
(TAG) akiwa na Askofu Mkuu wa TAG Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhiwa tuzo na Askofu Mkuu wa Tanzania
Assemblies of God (TAG) Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele
cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya
Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014.PICHA NA IKULU