Filamu
mpya toka kwa Mwanadada RIYAMA - "INAWEZEKANA". Ni stori inayomuhusu
msichana bikira aliyepata maambukizi ya UKIMWI bila kujaamiiana, lakini
mwisho wa siku akaja kuwa na familia yake na kupata mtoto. Filamu hii si
ya kukosa...Jipatie nakala yako sasa.
