Oct 13, 2013

PSPF YAKUTANA NA WADAU WAKE KATIKA CHAKULA CHA JIONI, YAELEZA FAIDA ZA KUJIUNGA NA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI



Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni PSPF, Adam Mayingu akitoa taarifa za majukumu, mafanikio, changamoto na mipango ya mfuko kwa wadau wa mfuko huo waliohudhuria kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na PSPF.


Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Francis Mselemu akifafanua jambo kwa wadau wa mfuko huo

Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji PSPF, Gabriel Silayo akieleza namna mfuko unavyowekeza ili kulinda thamani ya michango ya wanachama dhidi ya mfumuko wa bei na changamoto nyingine za kiuchumi


Mkurugenzi wa Fedha na Utawala PSPF, Masha Mshomba akifafanua jambo kwa wadau wa mfuko huo waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni


Kaimu Mkurugenzi wa Technohama PSPF, Andrew Mkangaa akieleza namna mfumo wa habari na mawasiliano unavyotumika katika kuboresha huduma za mfuko katika utunzaji wa kumbukumbu, ukokotoaji wa mafao, kuandaa malipo ya mafao na mawasiliano ya ndani na nje.


Meneja wa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Costantina Martin akitoa maelezo juu ya mpango wa uchangiaji wa hiari na namna wadau na jamii kwa ujumla inavyoweza kunufaika na mafao yanayopatikana katika mpango huo


 WADAU


Wadau wa mfuko wa PSPF
 



Wadau wa mfuko wa PSPF

 Wadau wa mfuko wa PSPF


Wadau wa mfuko wa PSPF








Wakurugenzi wa idara tano za PSPF katika picha ya pamoja wakati wa utambulisho kwa wadau wa mfuko huo, kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani, Godfrey Ngonyani, Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji, Gabriel Silayo, Kaimu Mkurugenzi wa Technohama, Andrew Mkangaa, Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji, Francis Mselemu na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Masha Mshomba.


WAKIPATA CHAKULA CHA JIONI WOTE WALIOSHIRIKI ZOEZI ZIMA