Oct 19, 2013

MAWAKALA WA M-PESA WILAYA YA MAGU WATIA MGOMO BAADA YA KUDAI KUWA COMMISION /PSHOZO ZAO KUPUNGUZWA KWA KIWANGO KISICHO SITAHILI

Mawakala hao wakiwa katika kikao kilicho wakutanisha na viongozi wa vodacom wilaya ya magu ndipo walipotoa dukuduku lao na kudai kuwa vodacom wameshindwa kuwalipa posho zao kwa kiwango kilichostahili na ndipo walipo amua kugoma hapo wilayani magu.

na mwanahabari wetu kutoka magu ISAYA MOMBA